Mechi ya Yanga SC na Mbao FC yarudishwa nyuma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Mbao FC dhidi ya Yanga SC sasa itapigwa Oktoba 22 badala ya Oktoba 24 mwaka huu.

Mchezo huo ambao utakuwa ni wa nne kwa Yanga SC, umepangwa awali katika dimba lilelile la CCM Kirumba jijini Mwanza.

Baada ya mchezo huo Yanga SC itakuwa na kibarua cha mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids ya Misri kwenye uwanja huo huo Oktoba 27, 2019.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad