Mo Dewji ampatia nafasi hii, Crescentius Magori ”Natangaza rasmi, anauzoefu Mkubwa na soka la Afrika”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Mohammed Dewji amemtangaza Crescentius Magori kuwa mshauri wake binafsi katika upande wa mchezo wa soka.



Mo ameyasema hayo kupitia akaunti yake ya kijamii ya Instagram, huku akiamini kutokana na uzoefu aliyokuwanao, Magori kwenye upande wa soka utaongeza nguvu.

”Napenda kutangaza rasmi kuwa nimemteua Ndg. Crescentius Magori kuwa mshauri wangu binafsi kama Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba.” – amesema Dewji.

Mohammed Dewji ameongeza ”Anauzoefu mkubwa wa soka la Afrika na ninaamini uwepo wake utaongeza nguvu kwenye safari yetu ya kuifanya Simba kuwa moja ya klabu yenye mafanikio makubwa zaidi barani Afrika”

Crescentius Magori alikuwa CEO wa klabu ya Simba SC kabla ya nafasi hiyo kumpisha Senzo Mazingiza raia wa Afrika Kusini.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad