AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Aussems aliondoka nchini Tanzania juzi kimyakimya na kurejea nyumbani kwao Ubelgiji kwa kile alichokieleza kuwa ni kutokana na sababu zake binafsi na ameahidi kurejea leo akiwa na hasira za kupata pointi tatu za Ruvu Shooting iliyo nafasi ya nane na ina pointi 15. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Aussems amesema:”
Niliondoka kwa sababu zangu binafsi mwenyewe kwa siku mbili nitarejea kesho (leo), kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting nazihitaji pointi tatu.” Championi Jumatano, lilizungumza na Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu ambaye alisema kuwa hawezi kuzungumzia suala la kocha kwa kuwa bosi wao ameshazungumza.
“Bosi amesema kuwa hajui alipo kocha sasa mimi nitazungumza nini hapo, zaidi ya kufuata kile ambacho amesema CEO? (Mkurugenzi Mtendaji) basi kwa kuwa mwajiri hajui alipo mfanyakazi wake hakuna nitakachoweza kuzungumza,” alisema Rweyemamu.
Simba inatarajiwa kushuka Uwanja wa Uhuru Novemba 24 kumenyana na Ruvu Shooting mchezo wao wa 10 kwenye ligi ikiwa nafasi ya kwanza baada ya kucheza mechi 9 na imejikusanyia pointi 22, imepoteza mchezo mmoja mbele ya Mwadui FC na imeshinda mechi saba na sare moja dhidi ya Prisons
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK