Bondia Afariki Dunia kwenye Mazoezi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bondia Dwight Ritchie raia wa Australia amefariki, huko jijini Melbourne, muda mfupi baada ya kumaliza mazoezi yake ya kawaida

Promota aliyekuwa akisimamia mapambano ya Ritchie, Jake Ellis, amethibitisha kifo cha bondia huyo ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 27.

"Ni huzuni kubwa na mshtuko mkubwa kutangaza kifo cha mpambanaji Dwight Ritchie, ambaye amefariki akiwa anafanya kitu anachokipenda'', Jake Ellis  ameiambia BBC Sport.

Ritchie alikuwa ameshacheza mapambano 21, ambapo kati ya hayo alipoteza mawili tu, moja ikiwa ni lile la hivi karibuni dhidi ya Tim Tszyu kuwania taji la IBF Australia kwenye uzito wa 'Super-welterweight' mapema mwezi Agosti.

Katika mazoezi hayo Ritchie alikuwa anafanya na bondia Michael Zerafa, ambaye anajiandaa kwa pambano la marudiano na Jeff Horn, ambaye ni bingwa wa zamani wa WBO Welterweight.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad