Kijana Amuua Mpenzi Wake Kisha Naye Kujiua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KIJANA aliyetambulika kwa jina moja la Paschal (24) anadaiwa kumuua Rosemary Gallus (34) kwa kumchoma kisu kisha na yeye kujichoma kisu kifuani na tumboni na kufa.



Chanzo cha kufanya hivyo kinadaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi uliopelekea ugomvi kati yao huku Paschal akimtuhumu Rosemary kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao.



Wawili hao wamekutwa wamefariki (nyumbani kwa mwanamke) Gongo la Mboto, Dar es Salaam, huku mtoto wao (1) akiwa pembeni ya maiti za wazazi wake na akiwa amejeruhiwa kidogo.



Wazazi wa Rosemary wamesema Paschal amezaa na mtoto wao lakini waliachana kutokana na ukorofi wa kijana huyo na siku ya tukio alikwenda kwa mwanamke kusuluhisha lakini yakatokea hayo yaliyotokea.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad