Kocha wa Tottenham afurushwa kazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tottenham wamemfukuza kazi kocha mkuu Mauricio Pochettino baada ya miaka mitano White Hart Lane.

Meneja huyo wa zamani wa Southampton, 47, alipewa kazi hiyo Mey 2014 na kufanikiwa kuipeleka Spurs kwenye fainali ya Klabu Bingwa Ulaya msimu uliopita, ambapo walifungwa na Liverpool.

Hata hivyo klabu hiyo imeanza msimu mpya kwa kusuasua na wapo katika nafasi ya 14 katika msimamo wa Ligi Kuu ya Egland.

"Tumepata tabu sana kufanya mabadiliko haya," amesema mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad