Makonda, Diamond wawakumbatia watoto wenye matatizo ya moyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametembelea kituo cha Jakaya Kikwete Moi katika hospitali ya Muhimbili akiwa na mwanamuziki maarufu wa bongo fleva Diamond Platnumz katika kampeni ya kuokoa maisha ya watoto 500 wanaosumbuliwa na magonjwa ya Moyo.

Katika ziara hiyo Makonda amewataka wasanii kuwa na moyo wa kutoa hasa kuwasaidia watoto wenye uhitaji kwani wao ndiyo viongozi wa kesho ambapo ametaja namba ya account itakayotumika kuhifadhi fedha zitakakazochangwa na watanzania ili kuokoa maisha ya watoto 500.

Katika hatua nyingine  Nasib Abdul ‘Diamond’ ameahidi kutibu watoto 10 ambao wanasumbuliwa na ugonjwa wa moyo huku akisisitiza wasanii kujitoa katika kusaidia jamii inayowazunguka,
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad