MO Dewji baada ya kufika Liverpool England

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ na muwekezaji wa Simba SC leo amepost picha akiwa Liverpool England na kuandika maneno ya utani kuhusu Liverpool wakati huu timu yake ya Arsenal anayoishabikia ikiwa haifanyi vizuri.



“Kwa yanayoendelea kule kwetu Arsenal nadhani hivi karibuni nitahamia kwa Majogoo FC (@liverpoolfc )😎 (jk😉)‬”>>>MO Dewji

Hii sio mara ya kwanza kwa MO Dewji kutembelea vilabu vikubwa vya soka Ulaya, aliwahi kuitembelea club ya Juventus na kuweka wazi kuwa mpango wake ni kujenga mahusiano kati ya Simba SC na Juventus ambayo yataweza kusaidia kukuza soka letu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad