Sanchi kupandikiza pacha mwezi ujao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MREMBO mwenye umbo mtikisiko, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema mwezi ujao ndio anatarajia kwenda kupandikiza pacha watatu nchini Afrika Kusini.  Akichonga na Za Motomoto News, Sanchi alisema kwa muda mrefu alikuwa na ndoto ya kufanya hivyo lakini anashukuru muda wake umefika kwa hiyo anatarajia kufanya hivyo mwezi ujao.

“Kila kitu kipo sawa na mpenzi wangu naye ananipa sapoti  kubwa kwenye hilo na ndiye nitasafiri naye kwa sababu anajua nilikuwa nikitamani pacha watatu kwa muda mrefu namuomba Mungu tu anisaidie,” alisema Sanchi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad