Wolper Akimbilia Arusha..Dar Imemshinda...Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


PAMOJA na Jiji la Dar kuwa na fursa nyingi na burudani kama zote, lakini kwa staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, mambo ni tofauti kwani ameamua kutoka nduki na kuhamishia makazi yake jijini Arusha.

Wolper ameliambia Gazeti la Ijumaa kuwa, ameamua kuhamishia makazi yake Arusha kwa kwa sababu maisha ya Dar yamemchosha hivyo ameona abadilishe hali ya hewa.

“Kwa sasa nipo Chuga (Arusha), nimeamua kubadilisha hali ya hewa, lakini biashara zangu zinaendelea kama kawa kule Tandika (Dar), siyo lazima wote tusongamane Dar,” alisema Wolper akikanusha tetesi kuwa amefulia.

Stori: Imelda Mtema, Dar
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad