Alichokizungumza Mbowe Mbele ya Rais Magufuli 'Kuna Wanao Lalamika na Kuumia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni Mbunge wa Hai,Freeman Mbowe amesema kuwa amehudhuria sherehe za miaka 58 ya Uhuru kwa ulazima wa kuwepo malidhiano.

Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni,ametoa kauli hiyo baada ya Kuitwa na Rais Magufuli kutoa salamu katika kusherekea Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara inayofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

"Nimekuja kushiriki sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa ulazima wa kuwepo malidhiano, uwepo upendo kuwepo na mshikamano katika Taifa letu, nawapongeza sana Watanzaniakwa siku ya leo na namuomba Mwenyezi Mungu siku ya leo ikafungue milango tuweze kuishi kama Taifa linalopendana, tuvumiliane, tukosoane, turuhusu Demokrasia tukajenge Taifa lenye upendo na mshikamano," amesema Mbowe.

"Mh. Rais una nafasi ya kipekee kuweka historia ya maridhiano katika Taifa kwani kuna wengine wanalalamika na wengine wanaumia, tumia nafasi hiyo kuliweka Taifa katika hali ya utengamano nakushukuruni sana."
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad