Diamond Platnumz Kuwa Macho Sana na Mtiga Abdallah wa THE STORY BOOK

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ndani ya Wasafi Fm Diamond Platnumz ameibua vipaji vingi sana na amefanikiwa kuajiri watu wengi ambao wanalipwa vizuri tu kama wakina Kumwembe, Kitenge na wengineo.

Lakini sijui kama Diamond ashawahi kukaa chini akafuatilia kazi anazozifanya huyu kijana wake Mtiga Abdallah pale Wasafi Fm.

Ni kijana mdogo sana lakini ana kipaji cha ajabu, ameanza kujizolea umaarufu kutokana na kipaji chake cha kusimulia hadithi za kusisimua.



Hiyo ni video mojawapo ya kazi anazofanya huyu kijana japo hushirikiana na wengine kuandika na yeye huadithia lakini ana kipaji cha pekee sana.

Ni muda sasa kwa Chibu kumuangalia kwa jicho la pili huyu kijana la sivyo media nyingine watampandia dau.

Tazama Baadhi ya Kazi zake hadithi za kusisimua

>>Maajabu ya Msitu wa AMAZON / Unatisha / Miti Inatembea / Nyoka wa Ajabu

>>Bahari ya Shetani: Nyumba ya Lucifer/Kwenye Vimbunga na Upepo Mkali/ Walipokufa Maelfu ya Watu

>>Kisa Cha SODOMA..Mungu Aliwashushia Mvua ya Moto Kwa Kuendekeza USHOGA...Walitaka Kuwabaka Malaika
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad