Dully Sykes "Atakayesema Wema Sepetu Sio Mwanamke Mzuri, Atakua na Tatizo la Utindio wa Ubongo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Dully ameyasema hayo Disemba 17, 2019, kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio, wakati anatoa maelezo ya uwepo wa picha ya Wema kwenye ukurasa wake wa Instagram.

"Unajua mbali na kuimba mimi pia ni shabiki wa wasanii wa aina tofauti na muziki, kuanzia HipHop, Jazz, tukija kwa Wema mimi namchukulia kama pambo, yule ni Miss Tanzania mwenye ushawishi mkubwa miongoni mwa Mamiss wenye ushawishi, kama yeye haina maana simkubali Joketi au wengine hapana." amesema Dully Sykes

Aidha Dully aliendelea kusema "Wema namkubali sana namuita mwanangu ananiita Baba yaani hata akija Rihanna au Jennifer Lopez wakimuona Wema"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad