Enyi Wanaume Ishini na Wake Zenu Kwa AKILI" La Sivyo Mwanamke Atakukoroga Maisha Yako Yote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'
Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI
Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA(Perpendicularly),vitu hivyo ni

1.HELA 2.GOOD SEX 3.CARING MAN 4.MUDA
Kuna Wanaume wanajua "Kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila WAKO BUSY...Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa..."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES,Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni LONELINESS....
A lonely Woman can easily be trapped by anyone..hata Houseboy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo
Unataka Mwanamke awe wako peke yako???Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....Mpe MUDA..Mpe HELA...Mpe Kisago kitandani...Mpe CARE na ATTENTION
Sikiliza maneno ya Nabii Seth uyatendee kazi,maana TB JOSHUA hatakwambia haya KAMWE!Nimemaliza!

Source:Nabii Seth 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lol kweli kabisaaaa. Nampaa hela nyoooo kwani Mimi nimeshibdwa kutafuta mwenyewe

    ReplyDelete
  2. nna mifano hai ya mwanamke ambaye hakupata mapenzi kwa muda mrefu lazima atafute mtu wa nje ata mm nshawai kunitokea kupendwa na wake za watu nikawa sielewi, nilijiuli mara2x2 nini sababu nikagundua sababu mume wake kasafiri, da! lkn sikuthubutu ninawoga sana

    ReplyDelete
  3. Wanaume wachache saaana wenye sifa hizo! Wengi wana moja tu au hawana kabisa! Ndiyo sababu ndoa nyingi za leo ni majanga

    ReplyDelete
  4. Ndiyo lazima mtushughulikie vizuri haswa! Mnatuonjesha utamu halafu tukikubali kuolewa ili tufaidi huo utamu, mnatukwepa! Tutaenda nje mpaka akili iwakae sawa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bangi yako uliyovuta mbichi ahaaaa

      Delete
    2. Bangi ya huyo ni mbichi tena sana

      Delete

Top Post Ad