Husna Sajenti "Sikuwahi Kulala wa Kuwa na Mahusiano na DULLA Makabila..ni Dogo Sana Kwangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanadada ambaye kwasasa hivi amekuwa haonekani kwenye Tasnia ya uigizaji hapa Bongo, Husna Sajenti ameweka wazi kuwa hakuwahi kuwa kwenye mahusiano na Msanii wa singeli Dulla Makabila.

Akiwa kwenye moja ya interview Husna aliulizwa "unayazungumziaje mahusiano ya mpenzi wako wa zamani Dulla Makabila huko mitandaoni vipi hayakusumbui"

"Labda niseme ukweli Dulla hakuwahi kuwa mpenzi wangu ile ilikuwa ni kiki tu kwani hata nikiwaonesha chat zetu namuita kabisa dogo yani kuwa siwezi kuumia kwa mahusiano yake" amejibu Husna Sajenti
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad