MAJANGA...WBO Kumnyanganya Mkanda Anthony Joshua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Shirikisho la Masumbwi duniani (WBO) limetaka bingwa wa mkanda wa uzito wa juu wa shirikisho hilo Muingereza Anthony Joshua kupambana dhidi ya Oleksandr Usyk ili kutetea mkanda huo la si hivyo aurejeshe mezani mkanda huo

Joshua ambaye hajamaliza hata wiki tangu kurejesha mkanda huo kiunoni kwake toka kwa Andy Ruiz Jr itamlazimu kutii agizo hilo la WBO kwani kuna dalili kubwa za kupoteza sifa za kumiliki mkanda huo


Mambo ni magumu kwa Joshua kwani hata mkanda mwingine anao umiliki wa IBF pia ameamuliwa kurejesha mezani au kupambana Kubrat Puven ambaye ana haki za kuomba kupewa mkanda huo iwapo Joshua anshindwa kuzichapa naye

Results and highlights: Oleksandr Usyk muscles past ...

Shirikisho la mchezo huo dunia limetaka Joshua na timu yake kuhakikisha wanatoa maamuzi ndani ya siku 30 baada ya kupata barua hiyo la sivyo atanyanganywa  mkanda huo ghali zaidi



Kwa mujibu wa barua hiyo Joshua ana siku 180 tu za kujianda na kupambana na Usyk ambaye amepambana mapambano saba ya professional akiwa ameshinda mapambano matatu kwa K.O kwa manne kwa pointi

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad