Miss Tanzania Atamba Andika Historia ya Kuingia 20 Bora Miss World

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Miss Tanzania 2019 Sylivia Sebastian ameandika historia na kuingiza Tanzania kwenye rekodi ya kuingia 20 bora ya nchi zenye vipaji Duniani kati ya nchi 120 zilizoshiriki kwenye mashidano ya urembo ya dunia (Miss World 2019), mara ya mwisho Tanzania kushiriki nafasi hii ilikuwa ni mwaka 1994.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Miss Tanzania wamempongeza Sylivia kwa kuifikia hatua hiyo nzuri kwa kuandika
KATI YA NCHI 120 ZILOZO SHIRIKI TANZANIA IMO KWENYE 20 BORA ya nchi zenye vipaji duniani kwenye mashindano ya urembo ya dunia MISS WORLD 2019Hongera sana @syliviasebastian_bebwa hata kwa hapo ulipofikia umetuletea heshima Tanzania kua katika nchi duniani zenye vipaji na Sisi tupo.
“Miss wajao wamepata pa kuanzia. Na kuendeleza ulipofikia. Umetuweka kwenye Ramani. Umeweka rekodi mpya Mafanikio ni hatua hivyo toka 1994 , 2019 ndio tumefanikiwa kuingia kwenye kipengele hiki cha vipaji. Tunaendelea kukutakia heri kwenye fainali 14 /12/ 2019. Best of luck. 27 ndio waliofuzu Wakatajwa to 20 na Tanzania tumo.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad