Baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa leo December 22, 2019 John Mnyika amezungumza na Waandishi wa habari “Kumetokea matukio ya baadhi ya watu kupotea, ametekwa Tito Magoti baadae Polisi wakasema wanamshikilia, mpaka navyozungumza muda huu Polisi hawajasema wanamshikilia kwa kosa gani, natoa wito kwa Polisi, IGP aseme ukweli”.
VIDEO:
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini: