Nikilala na Mwanaume ASIYE na Pesa Siridhiki na Wala Sifiki Kileleni..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wapendwa naomba msaada maana naona napotea , yaani boy wangu alisafiri kikazi karibia mwaka mzima sasa huku mimi sababu ya upweke nikaanza kuchepuka na Boss wangu , kila week end ananipeleka nje ya Mji kama Bagamoyo ama Kigamboni tunalala huko na kufanya starehe za kila aina , Baada nikawa natoka na Wengine pia wenye pesa , sasa cha ajabu nikitoka na mtu ambae hana pesa za kunipeleka mbali ya mjini na kunipa starehe mbali mbali si enjoy hata tukifanya sifiki kileleni 

Sasa kibaya boywangu amerudi nashangaa simfeel hata kidogo kama zamani kwani yeye si mtu wa sterehe....yaani sometimes ili nienjoy inabidi nichepuke kwa wale mapedeshee wenye kujua starehe ni nini wanispoili kwanza roho ikiridhika hata tukiwa 6 kwa 6 nafika....

Nifanyaje?

By ROSA
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha ujinga tulia ktk ndoa yako mchepuko noma baki ktk njia kuu bwege weeeee.......

    ReplyDelete
  2. Mazoea yanatabu

    ReplyDelete
  3. Malaya mkubwa mamae

    ReplyDelete
  4. Malaya mkubwa ww!muache hyo mwanaume wa watu kabla hujamua kwa Ukimwi

    ReplyDelete
  5. Malaya mkubwa ww!muache hyo mwanaume wa watu kabla hujamua kwa Ukimwi

    ReplyDelete
  6. Wewe ni malaya tuu

    ReplyDelete
  7. Yaelekea mpaka tiGO pia watoa wewe ushakua na tundu kubwa lakutosha kiasi kuwa huinjoy paipu ya kawaida nyamafu mkubwa weeeeeee!

    ReplyDelete
  8. Pumbavuuuuuuuuuuu zako we bint

    ReplyDelete
  9. huna mapenzi ya kweli

    ReplyDelete
  10. Ngoja ufike kilele cha miwaya, manyoko zako!

    ReplyDelete
  11. wanaume wasio nahela wanahasira jamani tafuteni hela zinarahayake.hata ukipizi unapizi kwaraha ukimaliza unapata raha unajua hujakopwa.sasa unapizi huku unawaza nikimaliza hapa nimekopwa hatahela ya supu sipewi sikero hio.aah hela mbele muache mitusi.ukwelindio huo kugawa kwa mkopo inaboa watuhawapendi

    ReplyDelete
  12. Tatizo lako huelewi unataka nn?

    ReplyDelete
  13. Looh umecopy na kupaste jamii forumn

    ReplyDelete

Top Post Ad