Tito Magoti na Wenzake Watatu wapandishwa Kizimbani Wakikabiliwa na Shtaka la Uhujumu Uchumi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mfanyakazi wa kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo la kutakatsha pesa shilingi Milioni 17.


Tito Magoti akiwa Mahakamani

Magoti ameambatana na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo wanashtakiwa kwa makosa matatu ikiwemo l uhujumu uchumi pamoja na kutakatisha pesa zaidi ya Miluioni 17.

Magoti alikamatwa Ijumaa la Disemba 20, akiwa maeneo ya Mwenge jijini Dar es salaam huku siku chache baadaye Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam akithibitisha kuwa Jeshi hilo kumshikilia Tito Magoti lakini bila kueleza sababu yake.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad