Ukipata Mwanamke Mwenye Sifa Hizi 16 Usimwache

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli

1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume.
8. Chanzo cha baraka ya familia.
9. Adui wa maadui wa familia.
10. Sauti ya familia.
11. Mponyaji wa familia yake na taifa.
12. Mlezi wa huduma.
13. Mkombozi wa familia na taifa.
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye.
15. Mwombezi wa familia, huduma na taifa.
16. Mficha siri wa Mungu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na sifa za mwanaume naye Pia, Maana Sio upande mmoja ati? Haya ya kumwangalia mwanamke mara hivi mara vile muda woteeeee!!!!!! Ni huku kwenye nchi za wasadikika. Mambo hayo yashapitwa na wakati katika karne hii. Kwanza wanaume sasa ndio wako nyuma wanazidiwa sanaa tu na wanawake, mwishowe wanawake wataona hakuna umaana hata wa kuolewa kila kitu anajitimizia mwenyewe, na hizi propaganda juu ya mwanamke

    ReplyDelete

Top Post Ad