Vanessa Mdee na Rotimi Wanaswa Wakitafuta Nyumba ya Kuishi Pamoja..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Fahamu: kwa mujibu wa media za Marekani, Rotimi na Vanessa Mdee hivi karibuni walinaswa huko Atlanta wakisaka nyumba ya wao kuishi pamoja. Aidha, Rotimi amesema amevutiwa zaidi na Vanesa sababu licha ya kuwa mzuri Pia staa lakini bado Vanessa sio mtu wa kujikweza kitu ambacho hukipenda toka Kwa mwanamke -

Wawili hao walikutana miezi kadhaa iliyopita katika event iliyoandaliwa na Essence jarida maarufu Marekani ambalo Kipindi cha nyuma jarida Hilo lilisifia kipaji cha Vanesa na kusema muziki wake ni rahisi kukubalika Kwenye soko la Marekani Kama akiamua
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad