Wanawake Wengi Siku HIZI Wamekuwa Malimbukeni wa Social Networks

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wanawake Wengi Siku HIZI Wamekuwa Malimbukeni wa Social Networks

Kuna mdada mmoja nilisoma naye chuo miaka fulani hapo nyuma, sasa jana katika pilikapilika zangu mjini, tukakutana ghafla maeneo fulani, kwa hiyo tukaanza kusalimiana na tukaona ni vizuri tusogee pembeni kwenye mgahawa fulani tukakaa. Basi tukawa tunapiga story za kawaida na kila mmoja akimwuuliza mwenzio yuko wapi na anafanya nini sasa. Katika kukaa naye kwa muda mfupi usiozidi nusu saa, kila baada ya sekunde kama 3 hadi tano nasikia simu yake (Sumsung galaxy S5) ikilia ndii, njee, ngaa, etc., huku akiishikilia na kucheza nayo muda wote! Sasa ikabidi nimwuulize mbona simu yako haiishi milio? Akajibu ni msgs - watu wananitumia msgs kutoka social networks mbalimbali.

Nikamwambia mmmhh, social networks gani hizo mpaka simu iwe busy muda wote? Akaniambia mie nipo (tena kwa madaha) karibu social networks zote halafu nina marafiki wengi sana, akaanza kunionyesha (sio kwamba sizijui, ila yeye alihisi mie ni mngoroko na sijui chochote kuhusu social networks), nami nikawa curious kufuatilia, maweeeeeeeeee! Mdada karibu kila social network unayoijua yupo na ni very active, halafu amejiunga na magroup kibao, singles, lovers without limit, love addicts, sijui magroup gani yaani basi:

- WhatsApp
-Viber
-Instagram
-Telegram
-Tango
-skype
-facebook
-Google+ (Google Talk)
-Twitter
-twoo
-flickr
etc.,

Kilichoniacha hoi ana contacts mpaka basi, yaani nimeona facebook ana marafiki wengi zaidi ya elfu, WhatsApp kama 3800 hivi, kwingine sikuendelea kuangalia.

Nikamwuuliza sasa hizi contacts zote unazitoa wapi? Akasema wengine tunakutana kwenye mishemishe lakini wengi ni kwenye mitandao.

Nikamwambia wewe hobby yako inaonekana kuchat! Akadakia "sana na kuangalia movie". Wakati naachana naye akawa anasisitiza nimpe namba ya simu tuwe tunawasiliana kupitia WhatsApp na social networks zingine, nikamwambia wewe nipe tu namba yako nikifika home nikatulia nitakuadd.

Natumaini wadada wengine wengi wa namna hii wapo!

Swali langu ni kwamba mwanaume ukikutana na mdada wa hivi ukaingia naye kwenye mahusiano, utakuwa na guts za kujipiga kifua kwamba utaweza kuclear strings na attachments zote alizozifanya? Watu wangapi amekutana nao, kutongozana nao na labda hata kusex nao?

Kwenye hizi social networks wanaume na wanawake mara nyingi hawaishii kuchat tu, bali hufikia hatua ya kutongozana na nimeona mahuasiano kadhaa ya ndoa au kiuchumba yaliyovunjika kwa wahusika kukutwa na msgs za kutongozana au kupeana miada ya kuchepuka!

Ukitaka mahusiano yako yabaki kuwa ndoto au yaingie matatani wewe mruhusu mwenzi (au jiruhusu mwenyewe) wako awe anachat, mara kushare photos na videos na watu wa jinsia tofauti - hata kama akidai ni ndugu zake, sijui kaka/dada wa hiari, sijui nilisoma naye chuo/sekondari, sijui mfanyakazi mwenzangu bila sababu ya msingi, utakuja kuniambia!

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmm! Si wanawake wote wewe Mimi Nina face na whatapp. Baba zingine azina umuhimu!!! Kama Uko busy na maisha Uwezi kuwa busy na ujinga huo!!! Huyo Ni Mshamba APITE KULE!!!

    ReplyDelete
  2. sure mwana baeleze bana waache longolongo

    ReplyDelete
  3. hilo nalo neno!

    ReplyDelete
  4. Mostly ni mamburulas ila pia hata wanaume ndio maana mashoga wameongezeka

    ReplyDelete
  5. jaman kwan social ntwrk nazo ni ulimbuken?

    ReplyDelete
  6. Huyo malaya mshamba 2 anaonesha bado limbukeni .. pumbafu!!

    ReplyDelete
  7. Huyo malaya mshamba 2 anaonesha bado limbukeni .. pumbafu!!

    ReplyDelete
  8. mmh! lakin ni kweli tupu!!!! ila kwa nini mwanamke ukatumie kila aina ya social netwrk zoote hizo ? unataka nini!! hebu tuache ulimbukeni wanawake!!!

    ReplyDelete
  9. Hata wanaume wapo msisingizie wanawake tu.

    ReplyDelete
  10. Kumamayo zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nawewe pia kwani una mama wewe?

      Delete

Top Post Ad