Wapambe wa Bobi Wine waonywa kupiga kampeni kwa kuandika na kuzichafua fedha za Uganda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Raia wa Uganda wamekuwa wakiandika jumbe za kisiasa kwenye noti za fedha, ambapo jumbe nyingi ni za kushawishi kuchaguliwa kwa Mbunge Bobi Wine kuwa Rais katika uchaguzi wa 2021.

Benki Kuu ya Uganda imesema vitendo hivyo ni uhalifu na vianaashiria ukosefu wa maadili. Aidha benki hiyo imefafanua kwamba kwa kuandika maneno kwenye fedha, kunaashusha thamani yake, na kuharibu ubora na ulinzi wake.Kwa kweli hii inaweka Hali ya wasi wasi kwa maneno ambayo yameandikwa au kuchafuliwa kwa njia yoyote.”Benki imebaini kuhusu wasiwasi kwa habari kadhaa zianazovuma kwenye mitandao ya kijamii zinazozunguka picha za sarafu za Uganda zikiwa na ujumbe wa kampeni za kisiasa.

Hii ni kushauri wananchi wote kuwa makini, kuandika alama kwenye noti au sarafu huingiliana na huduma za usalama.



By Ally Juma.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad