Akatwa Sehemu zake za SIRI Gesti Baada ya Kushindwa Kulipa Shilingi Elfu Tano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mkazi wa Nyigoti wilayani Serengeti mkoani Mara amekatwa sehemu za siri na mpenzi wake baada ya kushindwa kumlipa Sh5,000 walizoahidiana kulipana kila mshindo.

Tukio hilo limetokea leo Ijumaa, Januari 10, 2020 majira ya saa 11 alfajiri katika nyumba ya kulala wageni ya Gibita iliyoko mjini Mugumu wilayani hapa.

Akizungumza kwa shida akiwa chini ya uangalizi wa waganga hospitali ya Nyerere akipata matibabu, Joseph Nyanakwi amesema alikatwa na mhudumu wa nyumba hiyo baada ya mshindo kumlipa Sh15,000 badala ya Sh20,000 walizokubaliana kulipana na kwa kila mshindo mmoja ni Sh5,000 na yeye alipiga nne na kutoa fedha pungufu.

"Kwanza tulianza kwa vinywaji kisha tukakubaliana kila (hatua) Sh5,000 lakini akaomba kwanza Sh20,000 nikalipa, tumelala kila baada ya (hatua) nilikuwa nalipa Sh5,000 mitatu nililipa huu wa nne sikulipa akanidai nikamwambia akate kwenye Sh20,000 ya kwanza akagomba.”

“Tukalala alfajiri wakati naaga niwahi kijijini kwenye kazi za uchimbaji dhahabu, kumbe alikuwa na wembe ghafla akashika sehemu yangu ya siri na kukata kuanzia chini kwenye makende ili akate kabisa nikapambana lakini akawa ameishaniumiza vibaya," amesema Nyanakwi

Amesema akapiga kelele watu wakajitokeza kumsaidia na kutoa taarifa polisi waliofika na kuwachukua wote na mhudumu huyo aliyemtaja kwa jina la Nyangi Ismael maarufu Mnyamongo ambaye polisi wamekiri kumshikilia.

Mganga mkuu wa hospitali hiyo, Tanu Warioba amesema ataongea baada ya kumaliza kumhudumia majeruhi huyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad