Dudu baya “Diamond aliniambia amezungukwa na maadui wengi sana Wasafi, ndio mana nilikataa nyimbo zangu kupigwa pale”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa muziki wa Bongo Fleva DGodfrey Tumaini  alimaarufu Dudu baya ameeleza sababu za kukataza nyimbo zake kupigwa katika kituo cha WASAFI MEDIA.


Ameeleza pia sababu ya yeye kukandamizwa na watu wasiompenda wanaofanya kazi Wasafi media, lakini mbali nahilo ameelza kuwa Diamond alimwambia kuna maadui wengi sana wamemzunguka Wasafi media.


By Ally Juma.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad