Gadner Asisitiza Mwanaye Kutembea na ‘Sugar Dady’ – Video

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BABA mzazi wa mwanamuziki Malkia Karen, Gadner Habash ‘Captain‘, amesisitiza msimamo wake kuwa angependa mwanaye huyo aolewe na mwanaume aliyemzidi umri ‘Sugar Dady‘ , na si vijana wa umri wake kwani watamsumbua.

“Ujue kila mtu ana moni yake, nilichokisema sijabadili kuhusu Karen ndicho nilichokimanisha, lakini kila mtu anaweza kuelewa na kutafsiri anavyojua yeye wala hakatazwi.
“Kila nachowaza mimi sio lazima kiwe anachokiwaza mwanangu, sio kila ninachomshauri lazima akipokee, na yeye ni mtu mzima ana uhuru wa kuchagua anachokipenda na kumchagua mtu anayemtaka,” amesema Gadner.

VIDEO:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad