Idriss: siwezi kuacha kumpenda Wema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MKALI anayetikisa kunako upande wa Vichekesho Bongo, Idris Sultan amefunguka kuwa hana kinyongo na aliyekuwa mpenzi wake, Wema Sepetu.  Idris ameyasema hayo baada ya kuulizwa kwa nini hajibu komenti zinazo-tolewa na Wema kwenye ukurasa wake wa Instagram kama anavyojibu za wengine kitendo kilichotafsiriwa kwamba anamchukia mrembo huyo.

“Hakuna anaye-weza kuacha kump-enda mtu kabisa, utampata mtu mwingine ambaye utajifunza kumpenda zaidi na yule aliyekuwa wako mwanzoni utajifunza kumheshimu tu. Maisha ni mazuri hasa pale unapokuwa huna kinyongo na mtu hivyo siwezi kuacha kumpenda Wema,” alisema.

STORI: AMMAR MASIMBA
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad