James Mbatia "Namsihi Rais Magufuli Kutambua Kuwa Upinzani Upo Kwa Mujibu wa Katiba Haki Sawa ya Siasa ionekane"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Namsihi Rais Magufuli kutambua kuwa upinzani upo kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi, hivyo aone umuhimu wa kuijenga Tanzania pamoja badala ya kuwaona wapinzani kuwa ni maadui" Mhe. James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi

"Ni jambo la hatari kuingia katika uchaguzi mkuu wa 2020 wakati kuna walakini katika umoja wa kitaifa, ushauri wangu ni, kila mmoja atambue Tanzania kwanza, vyama vinakuja baadaye" Mhe. James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi
"Rais na Watanzania ni lazima wafahamu kuwa amani ni tunda la haki. Ili amani itamalaki katika uchaguzi mkuu huu wa Oktoba ni lazima kuwe na haki sawa ya siasa na ionekane kweli haki inatendek" Mhe. James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Taifa

"Nimsihi Rais Magufuli na makada wa CCM wasiwaone maadui Watanzania wanaoitakia mema Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 na kuwapa majina, badala yake watambue wanaipigania Tanzania" Mhe. James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Taifa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad