Kagera: Baba wa Kambo Amuua Mtoto wa Miaka Mitatu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Caren Crispine (3) ameuawa kikatili na baba yake wa kambo aliyetajwa kwa jina la Leonard Kishenya (36), mkazi wa Katorerwa, Wilayani Misenyi

Anatuhumiwa kumkata kwa panga na kutenganisha baadhi ya viungo vya mwili wake baada ya kuzuka ugomvi kati yake na mke wake aliyemtaja kwa jina la Domina Andrew (30)

Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi Revocatus Malimi amesema, Kishenya anatuhumiwa kufanya mauaji hayo usiku wa kuamkia jana   
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad