Kijana Ajisalimisha Polisi Baada ya Kumuua Baba’ke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MWANAFUNZI wa shule ya sekondari katika kaunti ya Kericho nchini Kenya amejisalimisha kwenye kituo cha polisi mara baada ya kumchoma kisu baba yake mzazi hadi kufa wakiwa kwenye mabishano ya masaa kadhaa.

Mkuu wa kituo cha polisi cha Toroton Richard Koech amethibitisha kujisalimisha kwa kijana huyo ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa miaka 18 kituoni hapo.

Mkuu wa kituo amesema kwamba kijana huyo alifikia hatua ya kumchoma kisu baba yake mzazi baada ya ubishani mkubwa baina yao baada ya baba yake kutaka apewe maelezo ya kina kwa nini mtoto huyo alirejea nyumbani mapema ndipo ugomvi mkubwa ulipozuka baina yao na kufikia hatua ya kijana huyo kumchoma kisu baba yake.

Baada ya kuchomwa kisu alifiikishwa kwenye hospitali moja mjini humo ambako umauti ulimfika baadae akipatiwa matibabu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad