Mnyika Atangaza Kugombea Tena Ubunge Kibamba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



KATIBU Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema atagombea tena ubunge Kibamba katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020.

 

Mnyika ambaye alichaguliwa kuwa katibu mkuu wa Chadema Desemba 20, 2019 ameeleza hayo leo Jumatano Januari 29, 2020 katika mahojiano maalum yaliyorusha moja kwa moja na  ITV.

 

Alipoulizwa kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo aliloliongoza tangu mwaka 2015, Mnyika amewataka wananchi wajiandae kumchagua kuwa mwakilishi wao bungeni.

 

Amesema kwa kuwa wananchi walimchagua kuwa mbunge mwaka 2015 akiwa naibu katibu mkuu wa Chadema, pia watamchagua akiwa katibu mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad