Polisi Wakana Kumkamata Mwanafunzi wa UDOM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma Gilles Muroto amesema hana taarifa za kukamatwa kwa mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Mugaya Tungu ambaye hadi sasa hajulikani alipo.

Awali ilidaiwa kuwa Mugaya Tungu ambaye ni Mwanafunzi wa Mwaka wa pili wa Shahada ya Sayansi Asili alikamatwa na Polisi juzi huku akidaiwa kuwa ndiye aliyepiga picha kuonesha shida ya maji UDOM.

Mkamu ya mkuu wa chuo Prof. Faustine Bee ameomba radhi kwa Jumuiya ya Chuo kutokana na tatizo hilo lililotokea kwa siku 7 mfululizo.


Taarifa ya Ofisi ya Mahusiano ya Umma na Masoko UDOM imemnukuu Prof. Bee akisema tatizo la ukosefu wa maji lilianza Januari 12 hadi 19, 2020 kutokana na kukatika kwa bomba kubwa linalopelekea maji chuoni hapo.

Katibu wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo hicho, Paschal Michael amesema hana taarifa zozote kuhusiana na Mwanafunzi huyo kukamatwa ingawa amekiri kumfahamu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad