Polisi Yakanusha Kuwapiga Waandamanaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Polisi nchini Iran katika mji mkuu Tehran, wamekanusha kutumia silaha dhidi ya waandamanaji walioghadhabishwa na kudunguliwa kwa ndege ya Ukraine.



Mkuu wa Polisi mjini Tehran  Hassan Roheimi ametoa taarifa hiyo baada ya vidio zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha polisi wakiwafyatulia risasi za moto na mabomu ya kutoa machozi waandamanaji.

Video hizo zilizowekwa kwenye mitandao na shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake New York lakini hazikuweza  kuthibitishwa kwa wakati huo.



Maandamano yalianza Jumatatu baada ya Iran kukubali kwamba ilirusha kombora kimakosa dhidi ya ndege ya abiria ya Ukraine na kuanguka karibu na Tehran.

Watu wote 179 waliokuwa kwenye ndege hiyo PS752, wengi wao wakiwa raia wa Iran na Canada walikufa.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad