Sanchi Apigwa Stop Nguo za Kubana Kisa Ujauzito Watoto Mapacha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


DAKTARI wa mwanamitindo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘ Sanchi’ amempiga stop mrembo huyo kuvaa nguo za kubana kwa kipindi hiki ambacho amepandikiza mbegu kwa ajili ya kupata watoto mapacha.  Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Sanchi alisema kuwa amepewa sharti hilo na daktari wake kwa tahadhari kuwa uvaaji huo unaweza kumsababishia kukosa watoto hao.

“Nimeamua kubadilika na kufuata masharti niliyopewa na daktari kwa sababu nina hamu na watoto mapacha,” alisema Sanchi

STORI: IMELDA MTEMA


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad