Hemedy PHD Afunguka Kuhusu Kuoa Endapo Akifikisha Miaka 45 ili Wapeane Dawa za Presha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ni Headlines za staa kutokea kwenye uigizaji Hemed PHD ambae muda huu kupitia kipindi cha Ala za Roho ya @divatheebawse amefunguka kuhusu umri atakaofikia na kuchukua maamuzi ya KUOA

Hemedy amesema anataka kuoa akifikisha miaka 45 hivi na mke wake awe na miaka kuanzia 41 mpaka 46 hivi, amedai umri huo ni sahihi ili wabembelezane kusubiri rehema za mungu huku wanasaidiana kupeana dawa za presha....

"Kwa sasa nina mambo mengi nataka kufanya sinta weza kutulia kwenye ndoa so ili kusave dramas na kumuumiza mwenzangu ni heri nisubiri nitakapofikisha miaka hiyo" Hemedy
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad