"Mimi na Irene Uwoya Hatujawahi Kuachana"-Msami

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii na mkali wa kucheza Msami Baby, amesema bado anawasiliana kishkaji  na mpenzi wake wa zamani Irene Uwoya, na hawajawahi kuambiana kama wameachana katika mahusiano yao.

Msami Baby amesema haijawahi kutokea yeye na Irene Uwoya wakaacha kuongea kwa sababu hawajahi kuachana kiasi cha kila mtu kufuata mambo yake.

"Irene Uwoya ni mwana pia tunawasiliana kama washkaji, kwa sababu tuwe hatuwasiliani au tugombane, sijawahi kukaa naye halafu tukawa hatuongei au hatupigi stori hata tulivyokuwa tumeachana, na kwanza hatujawahi kuachana kusema mimi na yeye basi au kila mtu awe na mambo yake" amesema Msami.

Aidha Msami Baby ameendelea kusema, ilipita miaka mitano bila ya watu kujua kama yeye na Irene Uwoya kama wapo kwenye mahusiano, kwa sababu hakuwahi kuweka mahusiano yake wazi lakini watu walijaribu kuyatafuta mahusiano yake.

Pia amesema hawezi kuahidi chochote kwenye mahusiano yake yajayo kwa sababu maisha yake hayatabiriki kwa sababu mipango mingine inapangwa na Mungu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad