Mrema Amuanika Sumaye Asema Alitaka Kuporwa kwa Mashamba yake iwe Agenda Kuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mkurugenzi wa Mawasiliano ,Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amemrarua aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye kwa kitendo cha kutaka mashamba yake kuwa ajenda kuu.

Mrema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter baada ya kuona taarifa ya Sumaye akidai kuwa alikwenda upinzani kujenga upinzani alichokikuta ni kupambana na polisi na usalama wa taifa.

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

Sumaye alisema hawana ajenda nyingine hakuna upinzani dhairi bali ni upinzani maslahi.

Mrema aliandika ujumbe huu
“Huyu mzee asituchefue… Upinzani maslahi kuliko yeye kupigania mashamba yake na alitaka iwe ajenda kuu?,”.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad