Mwanamke au Mwanaume Wako Akijiunga Badoo Muogope

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu kule hakuna biashara nyingine zaidi ya ngono

Yaani ukishangia mule ni salamu mbili tatu then "Uko wapi tuonane" na unajibiwa vizuri kabisa kama yupo karibu mnaonana na hakuna kutongoza unapata chako fasta ili mradi uwe na kitu cha bei elekezi 20,000 to 30,000 mkononi

Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

Tuwe makini sana na wapenzi wetu ni hakika ukikuta mpenzi wako yupo Badoo basi ujue ni mchele mchele kwa kwenda mbele..Shtuka wewe
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad