Ukitaka Kujua Kuwa Mpenzi Wako Ana Sifa ya Kuitwa Mke/Mume, Fanya Yafuatayo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo; Kama ulikuwa na wapenzi wengi mfano watano (5),chukua pesa kidogo labda 250,000,na kila mmoja mpatie 50,000 akaifanyie matumizi anayotaka.Baada ya hapo kila mmoja akupe mrejesho kwa ile fedha ameifanyia nini. Ikiwa watakupa mrejesho kama ufuatao....chukua hizi hatua:-

Ametumia fedha yote kujiremba/matumizi yake binafsi.......piga chini
Amesaidia ndugu zake/marafiki zake................piga chini
Ametoa sadaka au kawapa watu wenye uhitaji................jaribu kumfikiria tena
Ametumia kwenye pombe na fedha kuisha.............piga chini
Ametumia kwenye mahitaji yake kiasi na nyingine akatumia kwenye mahitaji yako. mfano labda akakuletea shati,suruali n.k..................huyo weka ndani/oa (hana ubinafsi yuko tayari muwe mwili mmoja).
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad