Harmonize Ayaweka Wazi Mahusiano ya Lulu Diva, TID "Washaanza Kufanana'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii Harmonize amethibitisha kuyaweka hadharani mahusiano ya Lulu Diva na TID, baada ya kupost kipande kifupi cha video wakiwa pamoja.


Katika video hiyo aliyopost  Harmonize katika akaunti yake ya mtandao wa Instagram, imewaonyesha wawili hao wakijirekodi wimbo  wake wa "Bedroom" kisha akaandika,

"Mahusiano pendwa kwa sasa washaanza kufanana, mapenzi ni matamu mnapokuwa kitandani"

Ikumbukwe wawili hao wamekuwa karibu siku za hivi karibuni na kuonekana wakiwa pamoja sehemu mbalimbali lakini wamekuwa wakikana kama wapo mahusiano.

Hii hapa ni kauli ya mwisho aliyoitoa Lulu Diva alipoulizwa na EATV & EA Radio Digital kuhusu mahusiano yake na TID,   "Sina mahusiano na mtu yeyote nipo single, TID ni kaka yangu ila tupo karibu kwa sababu tumefanya kazi halafu pia nina ushkaji na wasanii wengi wa kiume"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad