Uongozi wa Harmonize wafunguka Album ya Afro East kupotezwa mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Meneja wa masanii Hamonize (Kondeboy) umezungumzia suala la albamu ya msanii huyo iliyotolewa hivi karibuni (Afro East) kuondolewa katika mitandao ya kijamii kwasababu zinazoelezwa kuwa ni masuala ya hati miliki.

Masaa kadhaa yaliyopita nyimbo za msanii huyo zilishushwa katika majukwaa mbalimbali ya kimtandao lakini asubuhi ya leoMachi 26, 2020 Kondeboy amesema sasa zinapatikana katika baadhi ya majukwaa.

Baada ya tukio hilo Meneja wa Kondeboy Mjerumani amesema kuna mazungumzo na youtube pamoja na wadau wengine ambao nyimbo zao zimeshushwa na mambo yanakwenda vizuri.

Amesema baadaye baada kumaliza changamoto iliyopo wataeleza kilichotokea “Albamu yetu imerudi katika baadhi ya majukwaa na baadaye tutaweza kuzungumza”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad