DIVA "Endelea tu kuwa na umama, Nitaweka VIDEO za Chumbani Kwako Tabata ndio Ufunge Domo" - Alikiba Matatani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kwa sasa Alikiba anatamba kwa wimbo wake mpya wa Dodo akimshirikisha mwanamitindo wa Tanzania Hamisa Mobetto, wimbo ambao umemwezesha kupata ufwatilizi wa watu takriban milioni 2.3 katika mitandao ya kijamii.

Lakini kinachomuumiza maini kwa sasa msanii Alikiba ni kuwa mwanasosholaiti kwa jina  Diva the Bawse ambaye alikuwa anachumbiana naye kwa muda, ametishia kutoa kanda za video za ngono baina ya Alikiba na yeye kwa kile amesema ni kutokana na hatua ya msanii huyo kuendelea kumchafulia jina.

Divatheebawse

Alikiba amchokoza Diamond kwa kufichua anavyompenda ‘baby mama’ wake Hamisa katika video mpya



Diva amefichua kuwa mke wa Alikiba kutokea Kenya alifunganya na kutoka kwa makazi yao baada ya kufahamu kuwa mumewe Alikiba alikuwa na uhusiano na yeye.

Alikiba



Ameongeza kuwa aliamua kusitisha uhusiano wake na Alikiba kutokana na tabia ya msanii huyo ya kupenda wanawake wengi.

Huu hapa ni ujumbe alioandika Diva katika mtandao wake, japo kuna baadhi ya maneno yametoholewa katika lugha ya kiingereza.

Tutaendelea officialalikiba since umetuma watu weee umefanya everything behind, so many since I walked away… Trying to clean up yo image, I have videos, not just messages .. tena za chumban kwako Tabata … just because wewe ni mwanaume unafanya muziki you have no right to do what you doin cause I end up things with you, call me kigagula call me whatever .. Aliandika Diva

Inaudhi sana!’ Wimbo mpya wa Alikiba Dodo wapungua views hadi 700

Alifichua kuwa yuko na miaka 31 kando na matusi aliyokuwa anapata kutoka kwa kambi ya Alikiba eti yeye ni mama wa umri mkubwa kuliko msanii huyo.

Btw I’m only 31 kwa cheti changu og cha kuzaliwa, ukiniongelea anything napost video zako thats a Promise na Picha Zako thats another hit … so we both lose respect in the society, I had nuff of kuchafuana ovyo na najua unawatuma i have evidence too, at this point i don’t care at all, truth to truth , wanaume mnahisi mwanamke ni mtu ambae utamfanyia everything everyday im not yo puppet … awe mjinga nope.Aliandika Diva

Baada ya kuchumbiana na Alikiba kwa muda, inadaiwa kuwa Diva alimfungisha virago na kumshauri arejee kwa mkewe Amina. Maajabu haya!

Source:Jambo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad