Alichosema Mume wa Amber Rutty Baada ya Kupost PICHA Hiyo Akiwa na Amber Rutty

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


''Kulingana na mafunzo ya dini ya Kiislamu, dhambi ni kitendo kinachofanywa kinyume na sheria na maamrisho ya Mwenyezi Mungu. Mtume wetu Muhammad (S.A.W) anaelezea dhambi kuwa kama , “ Kitendo ambacho hakuna mwanadamu yeyote anayependa kukifanya wala kukiskia .” [1] Toba nayo ni hali ya mwanadamu kurudi kwa Mwenyezi Mungu kwa njia ya kuomba msamaha. Wanadamu hutenda dhambi kwa makusudio na wakati mwengine hutenda pasi na makusudio. Hivyo basi wao hujirudi na kuomba msamaha kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Kwa mujibu wa dini yetu ya Kiislamu, wanadamu huaminika kutozaliwa na dhambi ila katika maisha yetu hutenda dhambi. Wanadamu pia tumepewa mwongozo na mafunzo yanayoweza kutuepushia vitendo vya dhambi au kujikinga na ukiukaji wa maamrisho ya Mwenyezi Mungu. Hakuna mwanadamu aliyekamilika na kuishi pasi na kukosea. Hivyo basi, Mwenyezi Mungu huweza kumsamehe yule anayejirudi na kuomba msamaha. Mtume wetu Muhammad (S.A.W) anasema, “

Wanadamu wote hukosea na kutenda dhambi, lakini mbora wetu ni yule anayejirudi na kuomba toba. ” [2] “ Mwanadamu anayekosea na kutenda dhambi na kisha akajirudi na kuomba toba, huwa sawa na mwanadamu ambaye hajakosea wala kutenda dhambi. ” [3] Kufuatia ufafanuzi huu, tunaweza kusema kwamba mwanadamu anayekosea na kutenda dhambi kisha akajutia na kuomba toba kwa Mwenyezi Mungu, basi husamehewa na kujitakasa kama alivyozaliwa.

Katika hadithi nyingine Mtume Muhammad (S.A.W) pia alisema, “ Endapo hamjatenda dhambi, basi Mwenyezi Mungu huwabariki na kuwajumuisha kuwa miongoni mwa wanaoomba toba. Njia ya pekee ya kujitakasa kutokanana dhambi au vitendo vibaya vinavyokiuka maamrisho ya Mwenyezi Mungu ni toba.''
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad