Huyu Hapa Aliyegundua SIMU ya Kwanza ya Mkononi...Unaambiwa Simu ilikuwa na Kilo Mbili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu anaitwa Martin Cooper, amezaliwa December 26, 1928, huko Schaumburg Illinois Chicago, USA, Elimu yake ni PhD in Electrical Engineering, anafahamika kama Baba wa simu za mkononi.

Ni mtu wa kwanza kutengeneza na kutumia simu ya mkononi isyotumia waya (wireless) katika kampuni ya simu na vifaa vya umeme ya Motorola huko Schaumburg Illinois Chicago US. 1973, yeye ndiye chanzo cha kutokea kwa simu hizi akishirikiana na engineer mwenzie John F. Mitchell.

Simu ya kwanza ilikuwa na uzito wa Kg 2, chaji ilidumu kwa nusu Saa tu na kuichaji mpaka ijae ni Saa 12.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad