Polepole Arusha Kijembe Kuwa Mwaka Huu Hawana chao ndio Mwisho wa Ujanjaujanja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amerusha kijembe kuwa mwaka huu hawana lao na kwamba ndio mwisho wa ujanjaujanja.

Polepole aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter kuwa kumekuwa na mtindo wa kusambaza video zake ambazo zimekatwa au kuhaririwa.

“Kumekuwepo na mtindo wa kusambaza video zanfu ambazo zimekatwa au kuhaririwa ili kuondoa mtiririko na kupotosha mantiki ya ujumbe husika na uliokusudiwa.

” My message: wasijifiche katika kusambaza video visivyo kamili. Mwaka huu hawana lao, huu ndio mwisho wa ujanjaujanja,” aliandika polepole
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Polepole hawa wapotoshaji, tunawapa pole, tena poleni sana, End of the Game

    Tumesha wajua na kuwachoka.

    2020 ni Kijaniiii. Na Inapendeza.

    ReplyDelete

Top Post Ad