ACT-Wazalendo: Tumeupokea mwaliko wa Chadema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, kimeupokea kwa mikono miwili mwaliko uliitolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). 

Kauli hiyo ya ACT-Wazalendo wameitoa leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 ikiwa ni siku moja imepita tangu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika atangaze kufungua milango ya ushirikiano kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. 

Jana Jumatano, Mnyika akizungumza na wanadishi wa habari makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es Salaama alisema, wamefungua milango ya majadiliano na vyama vingine vya siasa ambavyo vinadhamira ya kweli ya kushirikiana kuiondoa CCM madarakani. 

Leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020, MwanaHALISI ONLINE limezungumza na Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu juu ya kauli hiyo ya Chadema ambapo amesema, “ACT- Wazalendo tupo tayari kushirikiana na vyama makini vya upinzani.”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jitto si alitaka kumalizwa na Mtowe ikafikia mpaka kufukuzwa Saccozini?

    Mbilinyi aliibua sakata la pesa za mikupuo za NSSF Ikihusisha Gombe Advisors? Mbungo yuko kazini.

    Mfunga mlango atakuwa nani?

    Dkt MmaryRose oyeee..!!!
    Tundu bovu Safii...!!

    ReplyDelete

Top Post Ad