BASATA yatoa Mwongozo kwa Wasanii Kuelekea June 29

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baraza la Sanaa Taifa BASATA limetoa mwongozo kwa wasanii, watayarishaji wa matamasha na wamiliki wa maeneo ya burudani kuhakikisha wanazingatia miongozo yote iliyotolewa na Wizara ya Afya kuelekea tarehe 29 Juni mwaka huu ambapo shughuli zote zilizokuwa zimesimama kufuatia janga la Corona zitakuwa zinarejea kama alivyoelekeza Rais Magufuli.

Itakumbukwa, Rais Magufuli alitoa tamko hilo Juni 16, wakati akihutubia bunge la 11 jijini Dodoma na kuruhusu shughuli zingine zote ziendelee nchini ikiwemo sherehe mbalimbali kama harusi na mikusanyiko mingine.

Aidha, katika mwongozo uliotolewa na #BASATA, limesisitiza suala la elimu kwa jamii wakati wote ambapo shughuli yoyote ya kiburudani itakua inaendelea.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mngeleza na Basata kwa Ujumla wenu.

    Ukitaka sisi Kukutathmini kiutendaji na Uadilifu katika Kupambana Na Wababaishaji kutumia hii Tasnia kujinufaisha ni kuhakikisha unaitisha
    waandishi kutujuza KAYUMBA / HAMSI BSS
    NA MESHACK Mil 5 Hamsini Zimesha kabidhiwa toka Kwa Madan Rita na kundile??

    ReplyDelete

Top Post Ad