Chanzo cha B Dozen kuhama Clouds

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BDozen kuondoka Clouds wengi wanadhani ni sababu za marupurupu au kumsifia Diamond waziwazi ila ukweli ni kuwa chokochoko zilianza mwaka juzi baada ya marehemu Ruge kumchukua Kennedy toka East Africa Radio na kumuweka kwenye XXL akiwa na lengo la kumfanya awe sura ya kipindi.

Kwa miaka zaidi ya 10 XXL imekuwa ni kipindi kinachopendwa zaidi na vijana wa kuanzia miaka 17-25 kwa hiyo Ruge alitaka kuhakikisha sura ya kipindi inabaki vile vile ila isingewezekana wakati watangazaji tayari umri ulikuwa unakwenda na new generation ilikuwa inaanza kupoteza touch na kipindi.

Mwanzoni walitaka Meena Ally na Kennedy wahamie XXL ili BDozen awe phased out ila wakaona ingevuruga utaratibu ikabidi Meena apelekwe Amplifaya apate uzoefu. Baada ya Ruge kufariki ilikuwa kama imesahaulika ila kitendo cha Meena kupelekwa XXL kilimshtua B Dozen akajua anakuwa replaced ikabidi ajiwahi mwenyewe kwa kukataa kusaini mkataba mpya na kukubali ofa ya Majizo kujiunga E FM.

Kwa hali ilivyo inaonekana E FM anajipanga kubadili vipindi vyake toka mambo ya Uswahili na singeli kuwa redio ya vijana corporate media nyingine inabidi zijipange.

By TinyMonster/JF

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad