Diamond Platnumz Atajwa Kutumbuiza TAMASHA Moja na Swizz Beats, Bruno Mars na John Legend....

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


Star wa Muziki Barani Afrika @diamondplatnumz , ametajwa katika Orodha ya Wanamuziki watakao perform/tumbuiza kwenye Tamasha la *EssenceFestivalOfCulture (@essencefest ) akijumuika na Mastaa wengine wakubwa duniani wakiwemo @johnlegend , @brunomars , @nas @therealswizzz @damianmarley nk

Tamasha hilo litaunganisha wasanii mbalimbali kutoka mabara tofauti na kwa Mara ya kwanza ndani ya Miaka 25 , litafanyika kwa mfumo wa Virtual Concert / Kutazamwa Kupitia Tv na mitandao. Na kwa Mujibu wa Richelieu Dennis ambae ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, amesema kuwa mapato ya Mwaka huu yatajikita zaidi kusaidia jamii ya Watu weusi na harakati za *BlackLivesMatter

Tamasha hilo limepangwa kufanyika kwa muda wa wiki mbili na litaanza Juni 25 mpaka 28 , Kisha kumalizika Julai 2-6.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad